Manara amewaomba mashabiki wa Simba wakaishangilie Yanga

Vilabu vya Tanzania vya Simba na Yanga weekend hii watacheza mechi za kimataifa na kuiwakilisha Tanzania katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Simba atacheza jumapili mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika na Yanga watacheza Jumamosi mchezo wa club Bingwa Afrika dhidi ya St Louis ya Ushelisheli. Kuelekea michezo hiyo afisa habari wa Simba […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News