Man City ilivyorudi kwenye kasi yake leo January 2 2018

Usiku wa Janury 2 2018 michezo minne ya Ligi Kuu England msimu wa 2017/2018 ilichezwa katika viwanja mbalimbali na Man City wao ambao wiki iliyopita walipunguzwa kasi yao kwa sare tasa dhidi ya Crystal Palace wamerudi mchezoni kwenye game ya leo dhidi ya Watford. Man City wakiikaribisha Watford katika uwanja wao wa Etihad na kufanikiwa kuwafunga […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News