Mambosasa: Hatuna Mpango wa Kuendelea na Kesi ya Dk Shika

Lazaro Mambosasa ambaye niKamanda wa Polisi Kanda Maalumu yaDar es Salaam, amesema kesi ya Dk Louis Shika hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba tatu za mfanyabiashara maarufu Said Lugumi alizoahidi kuzinunua zote zipo. Novemba 9, 2017 kampuni ya udalali ya Yono kwa niaba ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliendesha mnada wa nyumba mbili za Lugumi zilizoko Mbweni JKT na moja Upanga jijini Dar es Salaam ambazo zote Dk Shika alifikia bei ya kuzinunua kwa Sh3.2 bilioni. eshi la polisi kanda hiyo lilimshikilia na kumwachia kwa dhamana Dk Shika ambaye...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News