Mambosasa asema watu tisa wamefariki kutoka na mvua

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema watu tisa  wameripotiwa kupoteza  maisha kutokana na mvua zinazoendelea huku watu sita wamejeruhiwa kwa kudondokewa na ukuta na wanaendelea na matibabu....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News