Mali itagawanywa kwa wanandoa waishio pamoja tu;Mahakama Kenya

Mahakama nchini Kenya imekataa kubadili kipengele cha sheria ya ndoa kilichowasilishwa na wanaharakati kudai kugawanywa mali kwa asilimia hamsini kwa hamsini kwa wanandoa wanaotalikiana.Mahakama imesema wanandoa wanaopaswa kugawana mali ni wale wanaoishi pamoja....

read more...

Share |

Published By: RFI France - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News