MALEZI YA MZAZI MMOJA YANAHITAJI UMAKINI

Na Aziza Masoud, KATIKA jamii kwa sasa kumekuwa na wimbi la watoto wanaolelewa na mzazi mmoja kutokana na sababu mbalimbali. Katika nyakati hizi, idadi ya watoto ambao wanakuwa katika familia zilizo katika uangalizi wa chini ya mzazi mmoja, inadaiwa kuongezeka, hususan mama. Famili hizo zimeongezeka sana hata kufikia idadi sawa au zaidi ya familia zenye baba na mama wanaoishi pamoja katika jamii nyingi. Kuna sababu nyingi zinazochangia hali hiyo, zikiwamo kifo, utelekezwaji wa familia, kuhamishwa kikazi, masomo, hususani elimu ya juu n.k na kusababisha mtoto kulelewa na mzazi mmoja....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News