Makumbusho ya Mapinduzi yafunguliwa Rasmi, Kisonge Mnarani Zanzibar

 Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis  akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar. Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis  wapili kulia akipatiwa maelezo na Mkuu wa Huduma za Elimu Makumbusho Mw.Ramadhan Ali Machano katika Ufunguzi wa  Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Muembe Kisonge mjini Zanzibar. Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Sabra Issa Machano akitoa hotuba yake katika  Ufunguzi wa  Makumbusho ya Mapinduzi katika Mnara wa Miaka 50 ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News