Makocha wa Yanga na Njombe Mji baada ya game kumalizika

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Dar es salaam Young Africans leo walikuwa nyumbani katika uwanja wao wa Uhuru kuikaribisha timu ya Njombe Mji kutoka Njombe. Game hiyo Yanga wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0, magoli yakifungwa na Obrey Chirwa aliyepiga hat-trick na Emmanuel Martin na baada ya game makocha wa timu zote mbili waliongea […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News