Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Afungua Mkutano wa Kimataifa wa Masuala ya Jinsia na Mahakama Afrika.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) tayari kufungua Mkutano wa Kimataifa unaohusu masuala ya Jinsia na Mahakama Afrika ulioandaliwa na Mahakama  ya Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia, wengine pichani kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma,Waziri wa Sheria Dkt. Palamagamba Kabudi pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 11 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News