Makamu wa Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal Mgeni Rasmin Mashindano ya Kuhifadhi Qur-an Jimbo la Kikwajuni Viwanja vya Mapinduzi Squya Michezani Zanzibar.

Makamu wa Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwasili katika viwanja vya Mapinduzi Squya Michezani akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni kushoto na kulia Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Nassor Salim Jazira, akielekea katika jukwaa kuu kuhudhuria Mashindano ya Nne ya Kuhifadhisha Qur-An Jimbo la Kikwajuni Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Squya Michezani Kisonge Zanzibar....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News