Makamu wa Rais afutarisha na kutoa vyeti vya shukurani kwa wadau wa mazingira

Viongozi na Waumini ya Dini ya Kiislam mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye sala ya magharibi wakati Iftar maalum iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wakisoma Qasida kwenye Iftar maalum iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News