Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ziarani Nchini Cuba.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiagana na Baadhi ya Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa kuelekea Nchini Jamuhuri ya Cuba kwa ziara Maalum.Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Mh.Mahmoud Thabit Kombo akimtakia safari njema Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi anayeelekea Nchini Cuba kwa ziara Maalum.Picha na – OMPR – ZNZ.Na. Othman Khamis OMPR.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameondoka Zanzibar leo mchana kupitia Mjini Dar es salaam kuelekea  Nchini Jamuhuri ya Cuba kwa ziara Maalum.Katika ziara hiyo...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News