Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Azungumza na Ujumbe wa Kampuni ya ZTE Leo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sewif Ali Iddi wa Tatu kutoka Kushoto akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya Mtandao wa Mawasiliano ya Kisasa ya China ya ZTE Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Rais wa Kampuni ya ZTE Kanda ya Mashariki ya Kati na Afrika Bwana Darren Zhao kati kati akisisitiza jambo wakati ujumbe wake ulipofanya mazungumzo na Makamu wa Pili wa Rais wa ZanzibarBalozi Seif.Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Zanzibar Balozi Seif  Rais wa Kampuni ya ZTE Kanda ya Mashariki ya Kati na Afrika Bwana Darren Zhao akimkabidhi Balozi Seif zawadi Maalum kutoka...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News