Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akabidhiwa Mafao Yake na Shirika la Bima Tanzania NIC .

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima ya Taifa Tanzania { NIC } Nd. Sam Kamanga Kulia akimkabidhi Hundi ya Shilingi Milioni 20,000,000/- Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  inayotokana na mchango aliokuwa akichangia Bima ya Pencheni tokea Mwaka 2009.Balozi Seif Ali Iddi akitoa shukrani zake baada ya kukabidhiwa Hundi ya Shilingi  Milioni 20,000,000/- inayotokana na mchango aliokuwa akichangia Bima ya Pencheni tokea Mwaka 2009.Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima ya Taifa Tanzania     { NIC } Nd. Sam Kamanga akifafanua jambo wakati wa mafunzo mafupi waliyopatiwa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News