Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Akli Iddi Azungumza na Ujumbe wa Wawekezaji Kutoka Misri.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kushoto akizungumza na Ujumbe wa Viongozi  Wanane wa Taasisi za Uwekezaji kutoka Nchini Misri hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Kiongozi wa Ujumbe wa Viongozi  Wanane wa Taasisi za Uwekezaji kutoka Nchini Misri Bwana Amgad Hassoun  wa Pili kutoka Kulia akimueleza Balozi Seif  maeneo ambayo Kampuni za Misri zinaweza kuwekeza Miradi yao Visiwani Zanzibar.Picha na – OMPR – ZNZ.Na.Othman Khamis OMPR.Zanzibar inaweza kuimarika zaidi kiuchumi, Maendeleo na Ustawi wa Jamii endapo uwekezaji katika Sekta ya Utalii, ujenzi wa Miji Mipya ya Nyumba za Makaazi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News