Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Afungua Mashindano ya ya Special Olympic Viwanja Vya Amaan Zanzibar leo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  akipokewa na Viongozi wa Special Olympics alipofika uwanja wa Aman Mjini Zanzibar kuyazindua Mashindano ya Taifa ya Michezo ya Watu wenye Ulemavu Tanzania.Balozi Seif  akipewa zawadi Maalum ya Vijana washiriki wa Special Olympics wakati  wa hafla ya uzinduzi wa Mashindano ya Taifa ya Michezo ya Watu wenye Ulemavu Tanzania yanayofanyika katika Uwanja wa Amani. Baadhi ya Washiriki wa Special Olympics Tanzania wanaowakilisha Mikoa yao kwenye mashindano ya Michezo ya Watu wenye Ulemavu inayofanyika katika Uwanja wa Aaman kwa muda wa siku Tatu.Vijana...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News