Makamu Mwenyekiti wa ZFA Pemba Ndg. Ali Mohammed Ajiuzulu Nafasi Yake.

Na Abubakar Khatib Kisandu.Makamo wa Urais wa Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA PEMBA)Ndg.Ali Mohammed nae amejiuzulu rasmi nafasi yake kuongoza chama hicho.Akitoa sababu zilizopelekea kujiuzulu nafasi hiyo Mohammed amesema kutokana na viongozi wenzake wa juu kujiuzulu nae kaamua akae pembeni ili kutoa nafasi kwa viongozi wengine kuliongoza soka la Zanzibar.Taarifa kama hiyo ni muendelezo ndani ya chama hicho kufutia viongozi wengine wajuu akiwemo alokuwa Rais Ravia Idarous Faina pamoja na Makamo Urais ZFA Unguja Mzee Zam Ali nao kujiuzulu siku chache zilizopita.Inaonekana wazi chanzo cha viongozi wote hao kujiweka...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News