Makamu Mwenyekiti Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA) Ndg. Ali Mohammed Ajiuzulu Uongozi na Kuonesha Barua Yake Kwa Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba.

Makamu Mwenyekiti wa ZFA Pemba Ndg. Ali Mohammed ametangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo mbele ya Waandishi wa habari za michezo Kisiwani Pemba na kuonesha barua yake ya kujiuzulu. Na.Abdi Suleiman -Pemba.HATIMAE sinema ya kujiuzulu kwa viongozi wa juu wa Chama Cha Soka Zanzibar (ZFA) imeendelea, ambapo Makamu wa Rais wa ZFA Pemba Ali Mohammed Ali ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa huo.Makamu huyo ameungana na Rais wa chama hicho Ravia Idarous Faina, Makamu wa Rais Unguja Mzee Zamu Ali na Abdull Ghani Msoma.Akizungumza na waandishi wa habari Kisiwani pemba, Makamu huyo alisema hatua...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News