Majuto alikuwa tayari kuigiza akiwa kalazwa Muhimbili

Msanii wa filamu, Rehema Abdallah amesema marehemu Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto licha ya kuwa alikuwa amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alikubali kurekodi sehemu ya filamu akiwa katika hospitali hiyo....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News