Majibu ya Serikali kuhusu kubaini wagonjwa wa akili Tanzania

Mbunge wa viti maalum CCM Halima Bulembo amehoji uwezekano wa Serikali kufanya utafiti ambao utaweza kubaini idadi ya wagonjwa wa akili, majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dr Faustine Ndungulile. Sumaye amemuongelea Mtulia, Vipi kuhusu kutumia Salam za CUF na CHADEMA?...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News