Majibu aliyoyatoa Prof. Kabudi alipoulizwa kuhusu Muungano wa Tanzania na Zanzibar

Leo February 6, 2018 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania suala la mgongano wa kikatiba na kimamlaka kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar limejitokeza  bungeni baada ya kuibuliwa na Mbunge wa Wangwi, Juma Kombo Hamad. Hali hiyo ilijitokeza katika kipindi cha maswali na majibu bungeni […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News