Majaliwa azindua mradi wa maji

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua mradi wa maji safi wenye thamani ya Sh bilioni 1.09 na tangi lenye uwezo wa kuhifadhi lita 200,000 za maji, ambao utahudumia vijiji viwili vya Mkongotema na Magingo katika kata ya Mkongotema, wilayani Songea, mkoani Ruvuma....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News