Majaliwa awapa somo Chadema

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kukata rufaa kwenye vyombo vya sheria, endapo kama hakikuridhika na matokeo ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 nchini, ambapo matokeo yake yalitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) karibuni....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News