MAJALIWA ATEMBELEA UWANJA WA JAMHURI DODOMA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA UHURU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) kuhusu maandalizi ya Uwanja wa Jamhuri wa mjini Dodoma kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru. Mheshimiwa Majaliwa alikagua uwanja huo Desemba 7, 2017. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Binilith Mahenge. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) kuhusu maandalizi ya Uwanja...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News