MAHREZ ATAKA KUMRITHI SANCHEZ

LEICESTER, ENGLAND WAKATI Alexis Sanchez akitarajiwa kujiunga na kikosi cha Manchester City Januari kutoka Arsenal, nyota wa Algeria anayekipiga katika kikosi cha Leicester City, Riyad Mahrez, amesema anataka kuchukua nafasi ya Sanchez ndani ya The Gunners. Mahrez ameviambia vyombo vya habari nchini England kwamba yeye yupo tayari kujiunga na Arsenal katika usajili wa dirisha dogo, kwa sababu ni moja ya matamanio yake kama mchezaji kucheza kwenye timu kubwa. “Tamaa yangu kama mchezaji ni kucheza katika klabu kubwa kama Arsenal, naamini kwamba nafasi ya Sanchez naweza kuichukua iwapo akijiunga na Manchester...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News