MAHAKAMANI: Watuhumiwa wa ugaidi Arusha wavua nguo Mahakamani

Watuhumiwa katika kesi ya matukio mbalimbali ya ugaidi mkoani Arusha, Leo January 16, 2018 wamevua nguo na kubaki utupu wakati wakishushwa kwenye basi la Magereza la Kisongo walipofikishwa katika Mahakama ya hakimu mkazi Arusha. Baadhi ya watuhumiwa wamefikia uamuzi huo wakidai kuchoshwa na hatua ya kufikishwa Mahakamani na kusomewa mashtaka kisha kurejeshwa mahabusu bila kesi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 16 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News