MAHAKAMANI: Madabida na wenzie waachiwa na Mahakama na kukamatwa tena

Mwenyekiti wa zamani wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwamo kusambaza dawa bandia za kufubaza virusi vya Ukimwi ‘ ARV’s ‘ na kusababisha hasara ya Sh.Mil 148. Madabida na wenzake wamefunguliwa kesi hiyo mpya namba 80 […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News