MAHAKAMANI: Kilichoendelea katika kesi ya mauaji ya Mwanaharakati wa Tembo

Leo February 12,2018 Upande wa mashtaka umebainisha kuwa upelelezi wa kesi ya mauaji ya Mwanaharakati wa Tembo na Mkurugenzi wa PALMS Foundation, Wayne Lotter inayowakabili watu watatu akiwemo Meneja wa Benki, Khalid Mwinyi haujakamilika. Mbali ya Mwinyi, watuhumiwa wengine ni mfanyabiashara Rahma Almas (Baby) na Mohammed Maganga ambaye ni mchimba makaburi. Wakili wa serikali Saada […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News