MAHAKAMANI: Jalada la walioisababishia Serikali hasara ya Bilioni 2 lafika kwa DPP

Leo February 13, 2018 Upande wa Mashtaka umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa jalada la kesi ya uhujumu uchumi wa kuisababishia hasara serikali ya bilioni 2.4 inayomkabili Mkurugenzi wa Tathmini ya Madini, Archard Kalugendo lipo kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa ajili ya uchunguzi. Mbali ya Kalugendo, mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo ni Mthamini wa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News