MAHAKAMANI: Ilivyokuwa kesi ya Mbunge Nassari Arusha leo

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru na kusoma mashtaka ya kesi anayodaiwa kuifanya mwaka 2014 katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Nassari anakabiliwa na tuhuma za shambulio analodaiwa kulifanya kwa aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Makiba, Neeman Ngudu December 14, 2014 Mtuhumiwa ameachiwa kwa dhamana na kutakiwa kuwa na […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News