MAHAKAMA YARUHUSU MKUTANO MKUU WA SIMBA

Na Patricia Kimelemeta, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali maombi ya kupinga kufanyika kwa mkutano mkuu wa Klabu ya Simba (SSC), yaliyowasilishwa na Bodi ya Wadhamini ya timu hiyo. Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, ametoa uamuzi huo leo Agosti 11, ambapo amesema hoja zilizotolewa na walalamikaji hazina mashiko kwani kuna wanachama wengi waliotoka maeneo tofauti kuja kushiriki mkutano huo unaotarajia kufanyika Jumapili wiki hii. “Kutokana na hali hiyo, klabu hiyo imeshajiandaa kulipia gharama zote kwa ajili ya kufanikisha mkutano huo, hivyo basi ni vigumu kuhairisha,” amesema Hakimu Simba. Awali,...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Friday, 11 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News