Mahakama Kenya imetoa amri kuhusu waandishi watatu wanaohofia kukamatwa

Habari kutoka Kenya ni kuhusu sakata la ‘kujiapisha’ kwa Kiongozi wa Muungano Upinzani NASA Raila Odinga na wote waliohusika kwa namna moja au nyingine, zinaendelea na leo Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa amri mpya kwa Jeshi la Polisi. Mahakama imeamuru Jeshi hilo la Polisi kuacha kuwakamata au kuwabugudhi kwa namna yoyote ile Manager Mkuu […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News