Mahafali ya Chuo cha Amali Mkokotoni

Wanafunzi wa Chuo cha Amali Mkokotoni wakionyesha mchezo wa maigizo kuonyesha athari zinazowakuta wanafunzi wanapojuhusisha na matumizi ya dawa za kulevya wakati wa masomo katika mahafali ya tano ya Kituo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja . Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar. Wanafunzi wakionyesha matokeo ya masomo  yanayowapata wanafunzi kutokana na kutokana na matumizi ya Dawa za kulevya. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar. Mbunge wa Jimbo la Tumbatu Juma Othman Hija akiwapa nasaha wanafunzi waliyohitimu  Mafunzo ya Ufundi katika Chuo cha Amali Mkokotoni  akiwa Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo. Picha na Miza...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 12 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News