MAHADHI AOMBA RADHI YANGA

NA CLARA ALPHONCE BAADA ya kutoonyesha kiwango kizuri kwa misimu miwili mfululizo katika timu yake ya Yanga, winga Juma Mahadhi ameibuka na kuwaomba radhi mashabiki wa timu hiyo na wapenzi wa soka kwa ujumla na kuapa kuanza mwaka mpya akiwa mtu mpya. Akizungumza na DIMBA Jumatano, alisema yote hayo yalichangiwa na mambo mbalimbali ikiwemo ujana na sharehe ambazo ameona hazina faida kwake, hivyo ni wakati mwafaka kubadilika na kuzaliwa upya. Mahadhi alisema anakiri kufanya makosa makubwa katika soka na kudai kuwa amejipanga kurejea katika kiwango chake alichokuwa nacho mwanzoni wakati...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News