Magufuli: Naombeni Kampuni ya Total Mharakishe Ujenzi Bomba la Mafuta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na viongozi wa kampuni ya Total ambayo ni mwekezaji mkubwa wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania na kuwahakikishia kuwa Tanzania itatoa ushirikiano wa kutosha kwa kampuni hiyo na washirika wengine katika ujenzi wa mradi huo. Viongozi wa Total waliokutana na Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 05 Desemba, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam ni Rais wa masoko na huduma Bw. Momar Nguer,...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News