Magufuli, Kikwete wamuaga Mzee Majuto Karimjee

RAIS wa Tanzania, John Magufuli na Rais mstaafu Jakaya Kikwete amewaongoza mamia ya watanzania kuaga mwili wa marehemu muigizaji wa vichekesho Amri Athumani ‘Mzee Majuto” kwenye Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mwili wa Mzee Majuto uliwasili Ukumbini hapo saa nane na shughuli ya kuaga ikaanza ikiwemo salamu za rambirambi ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News