MAGUFULI AONGOZA KUMUAGA MZEE MAJUTO, KUZIKWA TANGA

Elizabeth Joachim na Bethsheba Wambura MWILI wa msanii wa filamu za vichekesho, Amri Athumani kwa jina maarufu King Majuto unatarajiwa kuzikwa kesho mkoani Tanga katika shamba lake. Mwili huo umeagwa leo katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam na idadi kubwa ya marafiki, ndugu, jamaa na viongozi mbalimbali wa serikali wakiongozwa na Rais Dk John Magufuli ambaye alionyesha hisia zake kwa kutoa chozi. Mzee Majuto amefariki dunia usiku wa jana majira ya saa mbili usiku kwa ugonjwa wa saratani lakini awali alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa tezi duma....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News