Magufuli amwangukia Kinana

JOHN Pombe Magufuli, mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemuomba katibu mkuu wa chama hicho, Abdulrahaman Kinana, kuendelea na wadhifa huo. Anaripoti Saed Kubenea….(endelea). Vyanzo vya taarifa kutoka Ikulu jijini Dar es Salaam na Ofisi Kuu ya chama hicho, Lumumba zinasema, Rais Magufuli amelazimika kuchukua hatua hiyo, kufuatia kuwapo kwa hofu ya mgawanyiko ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 18 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News