Magereza yaeleza maisha ya Lulu jela

MSANII wa fi lamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ jana alianza maisha mapya ya gerezani baada ya kuhukumiwa kifuko cha miaka miwili jela. Makahama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilimhukumu Lulu kifungo hicho baada ya kumtia hatiani kwa kosa la mauaji bila kukusudia ya aliyekuwa mpenzi wake na msanii mwenzake, Steven Kanumba....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Michezo - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News