Mafunzo ya Urefarii Wa Mpira wa Miguu Kwa Vijana Wadogo Zanzibar.Wahamasisha Wototo.

Jumla ya Vijana 28 wamejitokeza katika mafunzo ya kujifunza kuchezesha mchezo wa mpira wa miguu Zanzibar wakiwa chini ya Mkufunzi Refarii Mstaaf wa Zanzibar Ramadhan Kibo, akiwanoa Vijana hao kuwa warithi wa fani hiyo Kisiwani Zanzibar.  ...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 25 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News