MADRID KUJARIBU TENA KWA ICARD

MADRID,    Hispania TIMU ya Real Madrid inajiandaa kuijaribu tena Inter Milan ili kuona kama itaweza kumsajili straika wao, Mauro Icardi. Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Florentino Perez na kocha wao,  Zinedine Zidane, kukubaliana kwamba ni lazima Januari wapate straika mpya. The post MADRID KUJARIBU TENA KWA ICARD appeared first on Bingwa....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News