Madiwani 25 Arusha wamesusia kikao kwa madai ya kutopewa posho

Madiwani 25 wa CHADEMA katika Halmashauri ya Arusha wamesusia kikao cha Halmashauri kwa madai ya kupinga kitendo cha Mkurugenzi wa Halmashauri Wilson Mahera hiyo kutowalipa posho ya vikao viwili pamoja na kupinga kitendo cha kuapishwa kwa diwani wa Kata ya Musa. Hata hivyo baada ya kupinga hilo Madiwani wa CCM Lengai Ole Sabaya na Jasmin […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News