Madaktari wanaopata mafunzo Hospitali ya taifa ya Kenyatta wagoma

Madaktari wanaopata mafunzo ya juu wakiwa kazini katika Hospitali ya taifa ya Kenyatta nchini Kenya, wamegoma baada ya kusimamishwa kazi kwa mwenzao baada ya kutokea kwa hitilafu ya upasuaji wa mgonjwa katika hospitali hiyo kubwa ya rufaa katika ukanda wa Afrika Mashariki....

read more...

Share |

Published By: RFI France - Monday, 5 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News