MABEKI WANAVYOIUMIZA KICHWA BARCA

CATALAN, Hispania SAFU ya ulinzi ya klabu ya Barcelona imeanza kupatwa na majanga. Wengine wameumia na waliobaki hatima yao haieleweki, kama watabaki au watasepa. Nguvu kubwa ya Barca katika wiki za kwanza za msimu huu ni safu imara ya ulinzi, lakini mambo yameanza kubadilika na kocha wa klabu hiyo, Ernesto Valverde, anaona sasa umefika wakati mwafaka wa kusajili beki. Katika dirisha la majira yaliyopita ya kiangazi, Barca ilikaribia kumsajili beki wa kati wa Real Sociedad, Inigo Martinez, lakini hawakufanikiwa, huku beki aliyetajwa sana miezi michache iliyopita, Yerry Mina, yeye anatarajiwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News