Maandalizi Ndoa ya Ali Kiba ni Kufuru!

Wakati zikiwa zimesalia saa chache kabla mwanamuziki Alikiba hajafunga ndoa jijini Mombasa, imebainika kuwa ametumia mamilioni katika maandalizi ya sherehe hiyo.Ali kiba na Mpenzi wakeMwandishi wetu aliyepo Mombasa, Mohammed Ahmed anaripoti kuwa mapambo katika ukumbi utakaofanyika sherehe hiyo yamegharimu Sh2 milioni za Kenya ambazo ni wastani wa Sh40 milioni za Tanzania.Mpambaji wa ukumbi wa Diamond Jubilee unaochukua watu 1,500 katika jiji hilo ambaye mwandishi wetu alimkuta akiendelea na kazi,  anasema amelipwa kiasi hicho cha fedha ambacho ni kikubwa kulingana na aina ya mapambo waliochagua maharusi.Alikiba anayetamba na wimbo Seduce Me...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Wednesday, 18 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News