Maamuzi ya Waziri Nchemba leo akiwa Morogoro (+Video)

January 3, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza vijana sita ambao wanafanyakazi ya kujitolea katika mradi wa kiwanda wa cha sukari cha Mbigiri Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro majina yao yapelekwe wizarani wapate ajira ya kudumu. Hatua hiyo imefikia baada ya Waziri Nchemba kufika kiwandani hapo na kupata taarifa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News