Maamuzi ya Mkutano Mkuu wa Simba SC dhidi ya Mzee Kilomoni

Leo August 13, 2017 Simba SC imefanya Mkutano Mkuu wa Wanachama katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere ambapo moja ya makubaliano yaliyofikiwa na wanachama ni kumuondoa Mzee Kilomoni kwenye Bodi ya Wadhamini wa Klabu hiyo. Mbali na kumuondoa kwenye Bodi ya Wadhamini, Klabu ya Simba imemsimamisha uanachama na itamuandikia barua rasmi kwa ajili […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News