Maagizo aliyoyatoa Waziri Jafo kwa Mkuu wa Wilayani na Mkurugenzi Mkuranga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amemuagiza Mkuu wa wilaya ya Mkuranga na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo kuanza ujenzi wa madarasa haraka iwezekanavyo katika shule ya msingi Mwandege ili kuondoa msongamano wa wanafunzi madarasani. Agizo hilo amelitoa leo baada ya kutembelea katika Shule hiyo yenye […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News