Maagizo 14 ya Naibu Waziri TAMISEMI Mh. Josephat Kandege kwa Tawala za Mikoa

Naibu Waziri wa Tamisemi Mh. Josephat Sinkamba Kandege ametoa maagizo 14 kwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote Tanzania bara ili kuboresha upatikanaji bora wa huduma za kijamii katika maeneo yao na kuondoa changamoto zilizopo. Ametoa maagizo hayo katika majumuisho ya ziara yake ya siku 10 katika mkoa wa Rukwa yaliyowakutanisha watumishi wa Halmashauri Nne za Mkoa wa Rukwa yaliyofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Sumbawanga ambapo ni makao makuu ya Mkoa huo. Maagizo hayo yamekuja baada ya Kutembelea miradi kadhaa katika Wilaya tatu za Mkoa...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News