Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar Mawakili wa Serikali ya Zanzibar Watoa Elimu ya Sheria kwa Wananchi wa Kidimni na Kiboje Mkwajuni Unguja Wilaya ya Kati.

Na Miza Othman –Maelezo Zanzibar.       09/02/2018. Mawakili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiendelea kutoa elimu kwa Wananchi mbali mbali wa Vijijini ili kuzifahamu na kuzitekeleza vyema Sheria.Mawakili hao wamewataka Wananchi kuifahamu vyema Sheria ya Ardhi na Sheria ya Mahakama ya Kadhi ili waweze kuepukana na migogoro isiyokuwa ya lazima katika kutekeleza majukumu yao.Hayo waliyasema jana walipokuwa wakitoa Elimu kwa Wananchi wa Kidimni na Kiboje Mkwajuni  Wilaya ya Kati Unguja  juu ya umuhimu wa kazi na majukumu yanayofanywa na Mawakili hao.Wamesema  wameamuwa  kupita maeneo ya vijijini kwa lengo la kuwapatia elimu wananchi hao katika kumiliki Ardhi kisheria...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News